Dkt.Happiness Willboard toka Shirika la WaterAid Tanzania akitoa wasilisho kwa wajumbe wa kikao cha mradi wa kuboresha miundombinu ya vyoo kwenye maeneo ya masoko katika Halmashauri ya Arusha. Maeneo ambayo mradi unatarajia kuanza kutekelezwa ni soko la ngaramtoni na Olturumet ambapo mradi huo utatekelezwa na Shirika la WaterAid Tanzania chini ya ufadhili wa Habitat for Humanity kupitia Vikundi vya kina mama kwenye maeneo husika.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.