• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

SHULE SALAMA MWAROBAINI WA UKATILI DHIDI YA WATOTO....

Posted on: September 27th, 2023

OR-TAMISEMI


Katika kupambana na matukio ya ukatili kwa watoto mashuleni na majumbani Serikali imeweka mikakati mbalimbali ya kuzuia matendo hayo ikiwemo kutenga sh,trilioni 1.2 kwaaajili ya ujenzi wa shule mpya  za sekondari 1,026 nchini.


Akizungumza jana katika kikao kazi cha Maofisa Elimu Mkoa Sekondari na Halmashauri  nchini kilichofayika Chuo cha Patandi  Wilayani Arumeru Mkoani Arusha,Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dk,Charles Msonde aliwataka maofisa elimu hao kuhakikikisha wanasimamia miradi pamoja na kuhakikisha ulinzi na usalama kwa watoto mashuleni umaimarishwa.


Alisema ni lazima sasa walimu waratibu na kusimamia vema usalama na kuzuia ukatili kwa watoto shuleni na katika jamii na kusisitiza mafunzo hayo yataimarisha zaidi uelewa kwa wasimamizi hao ambao muda mwingi hukaa na watoto.


"Lazima mzuie aina zozote za ukatili kwa watoto mashuleni lakini pia kile chakuka cha mchana kinachotolewa mashuleni kinaimarisha afya zao na kuleta usalama zaidi,na msisite kusimamia miradi inayotolewa na serikali kwaajili ya kuimarisha miundombinu mashuleni"


Alisisitiza ujenzi wa shule hizo unaendelea na kuagiza maofisa hao pamoja na walimu kuhakikisha watoto wanaofanyiwa ukatili wanapewa mbinu mbalimbali za kuondokana na mawazo ili waweze kumudu masomo yao darasan


Mratibu Msaidizi wa Mradi wa Shule Salama(SEQUIR) toka Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia, Beatrice Mbigili alisema mafunzo hayo ni muhimu kwaajili ya usalama wa watoto mashuleni lakini pia ni vema walimu wakatumia mbinu mbalimbali kuzuia matukio ya ukatili wanaofanyiwa watoto shuleni na nyumbani sanjari na kufuatilia zaidi ili kuchukua hatua.


Wakati huo huo,Mwalimu Ntendeje Kingimali ambaye ni Ofisa Elimu Sekondari Wilaya ya Handeni na Mwalimu Benedict Sandi ,Ofisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Moshi walisema mafunzo hayo watayasimamia vema ili kuhakikisha matukio ya ukatili wanayofanyiwa wanafunzi yanadhibitiwa ili kuwezesha wanafunzi ambao ni viongozi wa kesho kuwa na ulinzi zaidi na kupata mbinu ya kuyathibiti matukio hayo kwa kuyafichua pale wanapoona wananyanyasika majumbani @wizara_elimutanzania







Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.