• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA  WATOTO WA KIUME WAFANYA TATHMINI ARUSHA DC..

Posted on: December 11th, 2022

Na Elinipa Lupembe.

Katika kilele cha Siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia, halmashauri ya Arusha, imefanya kikao kazi cha tathmini ya matukio ya ukatili wa kijinsia huku takwimu zikionyesha watoto wakiume wakiwa kwenye hatari kubwa ya kufanyiwa ulawiti.

Katika kikao hicho watoto walipata fursa ya kuelezea namna Klabu zao zinavyowawezesha kujitambua na jinsi ya kujikinga na kukaniliana na matukio ya ukatili hususani ulawiti kwa watoto wa kiume pamoja na changamoto wanazokabiliana nazo katika kuelemishana wao kwa wao.

Watoto hao wamesema kuwa kupitia klabu hizo,  wamejengewa uwezo na wameweza kutumia maarifa hayo kuelemisha wenzao shule na nyumbani pia, mafanikio ambayo yameanza kuwafanya watoto wa kiume kuanza kutambua hali halisi ya ulawiti unaoendelea kwenye jamii.

Hata hivyo wamebainisha baadhi ya changamoto zinazowakabili watoto ni pamoja na wazazi kukosa muda wa kukaa na watoto wao, mila na desturi pamoja familia kuwaamini ndugu,  jamaa na marafiki, watu ambao ndio wanaowafanyia watoto ukatili huo.

Awali katika kikao kazi hicho, kimefanikiwa kuweka malengo ya utekelezaji wa kupambana na matukio ya kingono dhidi ya watoto na kukubaliana kuwalinda watoto wate na sio watoto wa kike peke yao.

Kikao kazi hicho kilichowakutanisha viongozi wa klabu za watoto wa kiume 'Boys Vac Lab' shule sita za msingi, walimu walezi wa klabu hizo, wanasheria, mawakili, Polisi Dawati la jinsi pamoja na watalamu wa Halmashauri hiyo.

Halmashauri kwa kushirikiana na shirika la CWCD inatekeleza mradi wa kwanza wa kupinga ukatili wa kingono kwa watoto wa kiume, kupitia klabu za 'Boys Vac Lab' kwenye shule sita za msingi kwa ufadhili wa Foundation for Civil Society.

ARUSHA DC
KaziInaendelea✍✍


PPCHA ZA MATUKIO KATIKA KIKAO KAZI CHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.