Mkurugenzi wa Arusha Dc,Bw.Seleman Msumi akilimsha keki mmoja wa washiriki wa Mbio za Marathon za kusherehekea Siku ya Mama Duniani zilizojulika kwa jina la "Arusha Mother's Run,mbio hizo la Kilometa 5 na 10 zimebeba ujumbe wa kuhimiza Watanzania kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 " Hima Mtanzania shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa".
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.