• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

SIKU YA MWANAMKE ANAYEISHI KIJIJINI ARUSHA DC

Posted on: October 15th, 2023

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum Dkt.Doroth Gwajima, ameitaka Jamii na wadau mbalimbali kuungana kwa pamoja katika vita dhidi ya vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto. Rai hiyo ameitoa katika maadhimisho ya siku ya mwanamke anayeishi kijijini, ambapo kitaifa yamefanyika Oktoba 15, 2023 katika kijiji cha Olevolos kata ya Kimyaki Halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru.


Dkt.Gwajima amesema kuwa, hali ya vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto nchini bado viko juu na kwamba lazima jamii ibadilike kimtazamo, kwani takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kwa kipindi cha mwaka mmoja jumla matukio 12,000 ya watoto wamefanyiwa vitendo vya ukatili, kati ya idadi hiyo watoto 10,000 walikuwa ni wa kike na kati ya hao watoto 6,000 walikumbwa na ukatili ya kingono.


Amesema kutokana na kushamiri kwa matukio hayo, Wizara yake kushirikiana na wadau mbalimbali wanaoshughulikia masuala ya kupinga ukatili kwa wanawake na Watoto, wataendelea kutoa elimu kwa Jamii ili kuweka nguvu ya pamoja kukabiliana na janga hilo kwa kuwabaini wahusika na kuwafikisha katika vyombo vya sheria ili adhabu kali zichukuliwe dhidi yao.


Maadhimisho ya siku ya mwanamke anayeishi kijijini, yalianza kuadhimishwa rasmi mwaka 2007 chini ya Azimio la Umoja wa Mataifa, ikiwa na lengo kuimarisha ustawi wa maendeleo ya mwanamke kijijini kwa kuhakikisha mwanamke anapata mahitaji yake muhimu ikiwemo maji safi, lishe bora, afya ya uzazi, nishati bora pamoja na kumlinda dhidi ya vitendo vya ukatili.







Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.