SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA WILAYA ARUSHA.
Pichani ni baadhi ya Wafanyakazi Wanawake toka Halmashauri ya Wilaya Arusha walioipamba maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha ( Momera) mapema tarehe 03/3/2025.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.