Halmashauri ya Arusha imefanya maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu wa ngozi kwa kuwakutanisha watu hao kushiriki majadiliano ya pamoja pamoja juu ya haki na wajibu wao katika jamii.Walemavu hao wa ngozi walipata fursa ya kubadilishana mawazo na kujadili changamoto zinazowakabili na namna ya kukabiliana na changamoto hizo.Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha aligawa mafuta maalum ya kujipaka kwa ajili ya kutunza ngozi kwa walemavu hao wa ngozi waliohudhuria hafla hiyo.Hata hivyo Dk.Mahera ameahidi kuanzisha kliniki ya ngozi katika hospitali ya wilaya ya Oltrumet.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.