TANGAZO KWA UMMA.
Tangazo la Uuzaji wa Viwanja katika eneo la Mradi wa Tanzanite crater city (kata ya Oljoro, Arusha)
Halmashauri ya wilaya ya Arusha kwa kushirikiana na TANZANITE CRATER CITY inatangaza kuuza viwanja vilivyopimwa vyenye ukubwa tofauti (ujazo wa juu, kati na chini)
Kwa matumizi ya Makazi, Biashara, kwa Taasisi viwanja vipo kata ya Oljoro jirani, umbali wa kilometa nane (8) kutoka katika eneo la mradi wa ekari 30 wa kituo kipya cha Mabasi ya Arusha Mjini
Aina ya Matumizi na Gharama(Bei zake)
1. Makazi pekee, Mita ya Mraba ni Tsh 12,500/=
2. Makazi na Biashara, Mita ya Mraba Tsh 15000/=
3. Biashara pekee, Mita ya Mraba Tsh 17000/=
4. Makazi Maaluu (Housing states) Mita ya Mraba Tsh 18,000/=
5. Eneo la Hoteli, Mita ya Mraba Tsh 20,000/=
Fomu ya Maombi ya kiwanja zinatolewa kwa Gharama ya Tsh 20,000/= fedha haita rudishwa (non refundable) ili uweze kuchukua fomu fika katika ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Arusha (Sekei) ofisi ya Ardhi vyumba namba 2.
Utaratibu wa kufanya Malipo utafanyika kwa Mikupuo miwili, siku ya kuchukua kiwanja Mnunuzi atalipia asilimia sitini (60%) na asilimia arobaini (40%) atalipa ndani ya siku sitini (miezi miwili) tangu tarehe ya kwanza ya kununua kiwanja
Mawasiliano 0767200700 au 0718041114
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.