• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Tangazo la Nafasi za kazi ya Udereva

Posted on: November 16th, 2018

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuomba kazi ya Udereva Daraja la II

1.  DEREVA II   NAFASI 8;

1.1   Sifa za Mwombaji;

  1. Mwombaji anatakiwa awe na sifa zifuatazo;
  2. Awe amehitimu kidato cha nne (IV) au cha sita (IV) na kufaaulu.
  3. Awe na leseni Daraja la C au E, ya uendeshaji wa magari, ambayo ameifanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja.
  4. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na N II, VETA au chuo chochote kinachotambuliwa na Serekali.
  5. Mwombaji awe na cheti cha majaribio ya ufundi Daraja II (Trade Test grade II

1.2. Mshahara;

       Ngazi ya mshahara ni TGSB,yaani Tsh 390,000 kwa mwezi.

1.3   Kazi na Majukumu;

  1. Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote, kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo.
  2. Kutunza na kuandika daftari la safari “Log Book” kwa safari zote.
  3. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari.
  4. Kuwapeleka watumishi maeneo mbali mbali kwenye safari za kikazi kwa kuzingatia sheria,taratibu na kanuni za udereva.
  5. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali kwa kuzingatia maelekezo utakayopewa na msimamizi wako wa kazi.
  6.   Kufanya kazi nyingine utakazopangiwa na mwajiri wako.

2.   MASHARTI YA JUMLA;

  1. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45.
  2. Waombaji waambatanisha wasifu (C.V) yenye anuani sahihi, namba za simu sahihi, pamoja na majina matatu ya wadhamini na namba za za simu zinazopatikana.
  3. Testimonials “Provisional Result,” Statement of Result, hati ya matokeo ya kidato cha nne/sita” HAVIKUBALIKI”.
  4. Waombaji waliosoma nje ya nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na TCU au NECTA;
  5. Watumishi waliostaafishwa kazi Serikalini kwa namna moja au nyingine hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha mamlaka stahiki;

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/11/2018.

Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu uliowasilishwa hapo juu “HAYATAFIKIRIWA”

Waombaji waambatanisha nakala za vyeti vifuatavyo;

  1. Cheti cha kuzaliwa
  2. Cheti cha kuhitimu kidato cha nne (iv) au cha sita (vi)
  3. Cheti cha taaluma na mafunzo mbalimbali ya udereva
  4. Passport Size (1)

MAOMBI YOTE YATUMWE KWA NJIA YA POSTA KWA:

MKURUGENZI MTENDAJI,

HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA,

S.L.P. 2330

ARUSHA

         Anastazia Tutuba

KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI (W)



Matangazo

  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA TATU 2O21/2022 tarehe 09.05.2022 May 08, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA ARUSHA DC,BW.SELEMAN MSUMI AKIWA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI HIYO KATIKA MASDHIMISHO YA MEI MOSI KIMKOA ARUSHA

    May 02, 2025
  • HERI YA MEI MOSI

    May 01, 2025
  • HERI YA SIKU YA MEI MOSI

    May 01, 2025
  • MHE. MAJALIWA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.