Halmashauri ya Arusha inakusudia kutumia huduma za Wakala wa kukusanya mapto ya Halmashauri kwa kipindi cha kuanzia tarehe 1 Julai 2019 hadi tarehe 30 Juni 2020.
Halmashauri inapenda kuwaalika watu Binafsi, Makampuni, Ushirika, Taasisi au vikundi vya watu vilivyosajiliwa kisheria , wenye nia na uwezo wa kufanya kazi hizo kutuma maombi kwa anuani ifuatayo:-
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.
S.L.P 2330
ARUSHA.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe *03.05.2019, Ijumaa saa 04:30 asubuhi.
Kwa maelezo zaidi pitia kurasa hizo hapo chini.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.