Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) inawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania wenye uwezo na sifa za kujaza nafasi za ajira za Kada za Afya 746 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati watakaofanya kazi chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Tangazo hili linarudiwa kwa mara ya pili baada ya kukosa waombaji wenye sifa katika tangazo la awali lililotolewa tarehe 20 Aprili,
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.