• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

TRILIONI 2.78 KUTEKELEZA MIRADI YA ELIMU NCHINI

Posted on: September 24th, 2022

Na Angela Msimbira OR-TAMISEMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa amesema Serikali itatumia kiasi cha shilingi trioni 2. 78 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya elimu nchini

Ameyasema hayo leo tarehe 24 Septemba, 2022 wakati akitoa taarifa  kwa umma kuhusu utekelezaji   wa miradi ya elimu, jijini  Arusha .

Mhe Bashungwa amesema kupitia mradi wa kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) Serikali imetoa  Shilingi Trilioni 1.2 lengo kwa la kuongeza fursa za upatikanaji wa elimu ya Sekondari, kuweka mazingira salama kwa wasichana waliopo katika shule za Sekondari, na kuhakikisha wanafunzi wote wanamaliza elimu ya Sekondari na kufikia malengo yao.

Bashungwa ameendelea kufafanua  kuwa Mradi wa Kuboresha Elimu ya Awali na Msingi (BOOST): Utatoa Shilingi Shilingi Trilioni 1.15. ambapo  utaboresha mazingira ya kujifunzia katika shule za umma kwa kujenga miundombinu ya elimu, kuimarisha umahiri wa walimu na ubora wa ufundishaji darasani, kwa kutoa mafunzo endelevu ya walimu kazini.

Programu ya Kutekeleza Elimu kwa Matokeo awamu ya Pili (EP4R II) utatoa Shilingi bilioni 435.90 kwa lengo la kuendelea kujenga miundombinu mbalimbali ya shule (madarasa, vyoo, mabweni, nyumba za walimu), pamoja na kununua vifaa vya kufundishia

 Ameeleza kuwa afua zitakazotekelezwa ni pamoja Ujenzi wa Vyumba vya madarasa; Ujenzi wa Nyumba za Walimu; Ujenzi wa Maktaba; Ujenzi wa Matundu ya Vyoo; Ujenzi wa Mabweni; Ujenzi wa Mabwalo; Ujenzi wa Maabara; Ujenzi wa vyumba vya TEHAMA, Kutoa mafunzo endelevu kwa walimu kazini, na Ununuzi wa Vifaa vya TEHAMA

Aidha Waziri Bashungwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa wote nchini kuhakikisha wanafuatilia miradi yote ya Maendeleo ambayo fedha zake zipo kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa inakamilishwa iifikapo tarehe 31 Oktoba, 2022 na wakurugenzi  watakaoshindwa kukamilisha miradi ya Maendeleo ifikapo tarehe taarifa itolewe ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi yao.

Pia amewataka wakuu hao wa Mikoa kuhakikisha wanawasimamia  Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa ufanya matumizi sahihi ya fedha zote za miradi kwa kufuata Miongozo inayotolewa  juu ya fedha hizo ili kupata thamani halisi ya fedha hizo kwa miradi inayotekelezwa

Bashungwa ameelekeza , kuhakikisha wanafuatilia kwa ukaribu ujenzi wa miundombinu ya miradi ya maendeleo wanazoletewa ili kuepuka hoja za ukaguzi zisizo za lazima na kupata thamani ya fedha katika miradi hiyo.



KAZI IENDELEE✍




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.