Na. Elinipa Lupembe.
Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, anawakaribisha wananchi wote kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika tarehe 16.06.2022, yatakayofanyika kwenye Viwanja vya shule ya Msingi Sekei kata ya Kiutu kuanzia saa 02:00 asubuhi.
KAULI MBIU:
"Tuimarishe Ulinzi wa Mtoto; Tokomeza Ukatili dhidi yake: Jiandae Kuhesabiwa.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.