Halmashauri ya Arusha imepokea mgeni kutoka Ubalozi wa Japan nchini Tanzania wenye lengo la kukagua na kuangalia namna ya kufadhili umaliziaji wa jengo la Kituo cha Afya Manyire kata ya Nduruma.
Afisa Miradi na Msimamizi wa miradi kanda ya Kaskazini Bi. Sayun Kon ametembelea jengo hilo baada ya kulikagua na kuona mahitaji ya jengo hilo atayawasilisha Ubalozi wa Japani ili hatua za mwisho za makubaliano ya umaliziaji wa jengo ziweze kufanyika.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.