Maonesho ya 31 ya Kilimo na Mifugo na Sherehe za Wakulima NaneNane 2025 Kanda ya Kaskazini Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara yataanza rasmi tarehe 01/08 hadi 08/08/2025, kwenye viwanja vya Nanenane Themi – Njiro Jijini Arusha.
Kauli mbiu katika Maonesho ya 31 na Sherehe za Nanenane 2025 ni “Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025”
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.