Mwenyekiti wa halmashauri ya Arusha Mhe. Ojung'u Salekwa, anawatikia Waislam na wananchi wote Kheri ya Sikukuu ya Eid Al Hajj.
*Tusherehekee kwa Amani na Utulivu*
JIANDAE KUHESABIWA✍✍