• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA SEQUIP; MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI MOIVO....

Posted on: September 3rd, 2023

Na Elinipa Lupembe


Halmashauri ya Arusha inaendelea na usimamizi wa utekelezaji wa miradi mikubwa mitatu inayotekelezwa na fedha za kutoka Serikali kuu kupitia profram ya kuboresha miundombinu ya shule za serkondari (SEQUIP) shilingi bilioni 1.4.


Akizungumza wakati wa ukaguzi wa miradi hiyo, Mkuu wa Idara ya Mipango na Uratibu halmashauri ya Arusha Anna Urio, ameitaja miradi inayotekelezwa na fedha hizo kuwa ni apamoja na ujenzi wa shuoe mpya ya sekondari kata ya Moivo milioni 587.4, ujenzi wa mabweni na ukarabati shule ya sekondari Mringa milioni 360 na ujenzi wa nyumba ya walimu yenye sehemu mbili (2 in 1) shule ya sekondari Kiutu shilingi milioni 90.


Afisa Mipango huyo licha ya kuishukuru Serikali kwa kutoa fedha za kutekeleza miradi hiyo mikubwa, amesema kuwa kukamilika kwa mradi hiyo kutatimiza adhma ya serikali ya kuwa na miundombinu bora ya shule kwa kuwa na mazingira rafiki ya kujifunzia na kufundishia kwa walimu na wanafunzi pamoja na kutawapunguzia wanafunzi  adha ya kutembea umbali mrefu kwenda shuleni.


Aidha ameuzungumzia mradi wa shule mpya ya sekondari kata ya Moivo kuwa utajumuisha ujenzi wa jengo la Utawala,  vyumba 8 vya Madarasa, Maabara 3 za  Sayansi, chumba cha TEHAMA, Maktaba, matundu ya  vyoo vya wasichana na wavulana na chumba maalum cha wanafunzi wenye ulemavu, kichomea taka 1, mnara wa tank la maji lenye ujazo wa lita zaidi ya elfu 20


Awali Mirradi wa shule mpya ya sekondari kata ya Moivo umefikia hatua ya kumwaga jamvi kwenye majengo yote 6, mradi unaogharimu fedha kiasi cha shilingi milioni 584.


PICHA ZA MAENDELEO YA UJENZI



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.