• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Vijana kukusanya takwimu za vyoo kwa njia ya mtandao

Posted on: May 26th, 2018

Halmashauri ya Arusha kwa kushirikiana na Shirika lisilo la kiserikali la SNV, wametoa mafunzo kwa vijana kutoka kata 11 halmashauri hiyo, juu ya udodosaji na ukusanyaji wa takwimu za hali za vyoo kwenye maeneo yao kwa njia ya mtandao.

Mafunzo hayo yenye lengo la kuwajengea uwezo vijana wa kukusanya takwimu ili kufanya tathmini  ya hali halisi ya vyoo kwenye kata ambazo zimeonekana kutokufanya vizuri kwa kaya kuwa na vyoo bora.  

Mshauri wa Masuala ya Usafi wa Mazingira shirika la SNV,  Anna Emmanuel na mwezeshaji wa mafunzo hayo, amesema kuwa lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo vijana wa kudodosa na kukusanya takwimu za hali za vyoo katika maeneo yao kwa njia ya mtandao.

Ameongeza kuwa,  matarajio ya ukusanyaji wa takwimu hizo ni kupata takwimu zitakazowezesha kufahamu, hali halisi ya vyoo kwenye kaya pamoja na kufanya tathmini ya hali za vyoo endapo kuna athari yoyote ya vyoo iliyotoka na mvua zinazoendelea kunyesha.  

Mmoja wa vijana waliohudhuria mafunzo hayo, Robert Aloyce  wa kijiji cha Mbuyuni kata ya Oljoro amesema kuwa, kwa sasa wananchi  wameanza kuelewa umuhimu wa kuwa na vyoo bora licha ya kuwa bado wanakabiliwa na changamoto ya uelewa mdogo wa juu ya unawaji mikono.

Ameongeza kuwa bado jamii inahitaji elimu zaidi juu ya unawanaji wa mikono kwa kuwa watu wengi hawajui wakati hasa na namna bora ya unawaji mikono.

 " Wananchi wamehamasika kujenga vyoo,  lakini  sio watu wengi wanafahamu namna bora ya unawaji mikono, watu wengi hawafahamu  wakati hasa wa kunawa mikono" amesema Aloyce .

Afisa Afya halmashauri ya Arusha, Issa Msumari amesema kuwa, licha ya wananchi kujenga vyoo bora lakini bado kunahitajika uhamasishaji wa  unawaji mikono, ambao unachangia kwa asilimia kubwa maambukizi ya magonjwa yanayotokana na kinyesi.

Hata hivyo Msumari ameitaka jamii kuzingatia suala zima la unawaji mikono na kufafanua nyakati muhimu wa kunawa mikono ni mara baada ya kutoka chooni, kabla ya kuandaa chakula, kabla ya kula na kabla ya kunyonyesha mtoto kwa kina mama wanaonyonyesha.

Kata zitakazokusanywa takwimu hizo ni pamoja na kata ya Oldonyowas, Oldonyosambu, Olkokola, Lemanyata, Musa,Kisongo, Oljoro, Bwawani, Nduruma,Olturoto na Ilkiding'a.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.