VIONGOZI WA KIMAASAI WAMSIMIKA RC MAKONDA CHEO KUWA LAIGWANANI - ARUSHA
Viongozi wa Mila wa Kqbila la Kimasai (Maa) Wilaya ya Longido wamemtunuku Mhe. Paul Makonda Cheo cha Laigwanan Katika tukio la kihistoria la hafla ya kushuhudia utiaji saini wa mkataba wa uchimbaji wa visima vya maji, kupitia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) katika Kijiji cha Sinya .
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.