• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA AMEWATAKA VIJANA KUTUMIA FURSA YA MIKOPO ISIYO NA RIBA INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI

Posted on: June 23rd, 2022

Na. Elinipa Lupembe.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg. Salihi Geraruma, amewataka vijana kuwacha tabia ya kulalamika maisha magumu, badala yake kujishughulisha kwa kufanya kazi kwa bidii, sambamba na kutumia fursa uwezeshwaji kupitia ya asilimia 4 ya mikopo  isiyo na riba,  inayotolewa na halmashauri zenu.


Kiongozi huyo, amesema hayo wakati Mwenge wa Uhuru ulipotembelea Kikundi cha Vijana cha Winner Stunna,   wanaojishughulisha na ufundi selemala na kupewa mkopo wa shilingi milioni 10 kupitia mapato ya ndani ya halmashauri ya Arusha.


Licha ya kuwapongeza vijana amewasisitiza kufanya kazi kwa bidii, ili waweze kurejesha mkopo huo, ikiwa ni pamoja na kutengenza bidhaa zenye ubora ili kukabiliana na ushindani wa soko, ikiwa ni pamoja na kutafuta kazi zinazotolewa na serikali.


Hata hivyo ameuagiza watalamu wa halmashuri hiyo, kuwa karibu na vijana hao kwa kuwawezesha kupata kazi zinazotolewa na halmashauri ikiwe kuwa na mashine ya risiti ya mlipa kodi kutoka TRA 'EFD'.


"Wasaidieni vijana hawa kupata mashine ya EFD ili muweze kuwapa kazi kwenye halmashauri jambo ambalo litawawezesha biashara yao kukua, kuwakopesa tu haitoshi, lazima mbinu zaidi za kufanya biashara"


Mwenge wa Uhuru 2022, wenye kauli mbiu ya Sensa ni Msingi wa Mipango ya Maendeleo, Shiriki kuhesabiwa Tuyafikie Maendeleo.


MWENGE WA UHURU Hoyeeeee

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.