• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wajumbe wa kamati ya Fedha, Utawala na Mipango waridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo

Posted on: February 12th, 2019

Wajumbe wa Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango, halmashauri ya Arusha wamepitia na kukagua jumla ya miradi 12, yenye thamani ya takribani  bilion   3.5, miradi iliyolenga sekta ya Elimu, Afya,Maji, miradi ya serikali kupitia mfuko wa Maendeleo ya Jamii-  TASAF pamoja na miradi iliyotekelezwa kwa nguvu za wananchi.

Ziara hiyo ya siku mbili iliyofanyika wiki iliyopita, imehusisha kata za Oldonyowas, Mwandet, Olturumet, Olmotony, Mlangarini, Nduruma, Bwawani, Oljoro na Kisongo, ikiwa na lengo la kukagua shughuli za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha robo ya pili cha kuanzia mwezi Okoba mpaka Desemba 2018.

Katika ziara hiyo wajumbe hao wa kamati ya fedha,  wameridhishwa na utelekezaji wa miradi hiyo ya maendeleo  kwa asilimia kubwa licha ya changamoto nyingi zinayojitokeza katika utekelezaji wa miradi ya maji, miradi iliyochukua muda mrefu kukamilika.

Wajumbe hao pia wamepongeza juhudi kubwa zinzofanywa na wananchi wa kata za Mwandeti kijiji cha Losikito na Kata ya Oldonyowas kwa kujitoa kwa hali na mali kuchangia ujenzi wa miundombinu ya shule katika maeneo yao na kuwataka wananchi wote kuiga mfano huo kwa maendeleo yao na vizazi vijavyo na taifa kwa ujumla.

Mwenyekiti wa halmashauri ya Arusha, mheshimiwa Noah Lembris, amesema kuwa, asilimia kubwa ya miradi inayotekelezwa ndani ya halmashauri, inaridhisha kwa kigezo cha uhalisia wa mradi na thamani fedha yaani  'value for money' huku akiwapongeza wananchi kwa kujitoa kwa hali na mali kutekeleza miradi mwanzo mpaka kukamilika katika maeneo yao.

"Inatia moyo kuona wananchi wanajenga miundombinu ya shule mpaka kukamilika, wanachangishangishana mpaka shililingi milioni 300, haya ndio maendeleo tunayopaswa kujifunza wananchi wote Tanzania" amesema Mwenyekiti huyo.

Hata hivyo Kamati hiyo imewataka wananchi kuendelea kujitoa na kuthamini miradi iliyo katika maeneo yao na kuwataka kuitunza na kuijali kwa kuwa ni mali yao, huku serikali ikiwa ni wasimamizi.

Awali miradi iliyotembelewa ni pamoja na mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Losinoni Juu, shule ya sekondari Oldonyowas kata ya Oldonyowas, shule ya sekondari Losikito, ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya sekondari Mwandeti, ujenzi wa wodi ya uzazi hospitali ya Olturumet, ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya sekondari Olmotony Forest.

Ujenzi wa shule mpya ya sekondari Kiseriani, umaliziaji wa kituo cha Afya Manyire, ujenzi na upanuzi wa kituo cha Afya Mbuyuni kata ya Oljoro pamoja na miradi ya maji ya Bwawani na Loovilukuny kata ya Kisongo.




Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA August 14, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KUFUATILIA NA USAMIZI WA HAKI ZA MTOTO KATIKA JAMII NI JAMBO MUHIMU

    August 25, 2025
  • RAIS SAMIA AMUAPISHA AMOS MAKALLA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    August 26, 2025
  • DKT. JAHANNES LEMBULUNG' LUKUMAY ACHUKUWA FOMU YA UGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI

    August 25, 2025
  • KIKAO KAZI CHA WENYEVYITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA (CEOs Forum 2025)

    August 24, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.