• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAJUMBE WA KAMATI YA FEDHA WAKAGUA MRADI WA UJENZI WA KITUO CHA AFYA OLOIRIEN

Posted on: February 3rd, 2022

Na. Elinipa Lupembe.

Wajumbe wa Kamati ya fedha, Utawala na Mipango, wakikagua ujenzi Kituo kipya cha Afya cha Oloirieni kata ya Oloirieni, mradi unaogharimu kiasi cha shilingi milioni 450 fedha za mapato ya ndani kupitia fidia ya deni la Lakilaki.

Wajumbe hao wa kamati ya fedha licha ya kuridhishwa na ubora mradi huo, wakithibitisha ubora wa majengo unaoendana na thamani ya fedha 'value for money', wameshauri kuonheza kasi ya ujenzi ili mradi huo uweze kukamilika kwa wakati na kuanza kutoa huduma za afya kwa wananchi wa kata ya Oloirieni na kata za jirani.

Nao wananchi wa kata ya Oloirien, wameishukuru serikali yao ya awamu ya sita, inayoongozwa na Mama Samia Suluhu, kupitia uongozi wa halmashauri Arusha kwa kupeleka miradi ya zaidi ya shilingi milioni 650 kwa kipindi kifupi, miradi ambayo wamekiri haijawahi kutokea hapo awali.

"Tunaishukuru sana serikali ya awamu ya sita, kata ya Oloirieni haijawahi kupata miradi mikubwa yenye fedha nyingi kwa wakati mmoja, ndani ya miezi sita tumepata fedha za kutekeleza miadi mikubwa miwili, hii haijawahi kutokea tangu kata hii imenazishwa" wameshuhudia wananchi hao.

Mwenyekiti wa Kitongoji cha Oloirieni, mheshimiwa John Aminiel, ameishukuru serikali pia kwa mradi wa kituo cha afya, na kusema kuwa wananchi wa kitongoji chake wameamua kutoa kipande cha ardhi chenye ukubwa wa mita 20, ili kuonheza ukubwa wa eneo la kituo hicho kwa ajili ya kuongeza majengo ya wodi za wagonjwa ili kituo hicho kukidhi sifa.

Naye Afisa Mtendaji kata ya Oloirien Charles Sikoi, ameweka wazi kuwa kata ya Oloirieni, imepokea kiasi cha shilingi milioni 650, ikiwa shilingi milioni 450 fedha za fidia ya deni la lakilaki kwa ajili ya ujenzi wa Kituo kipya cha afya, pamoja na shilingi milioni 200  za ujenzi wa vyumba 10 vya madarasa shuke ya sekondari Mringa, zikiwa ni fedha za Mpango wa Taifa wa Mapambano dhidi ya UVIKO 19.

Sikoi ameongeza kuwa, wananchi wa Oloirieni wamefurahia ujenzi wa kituo hicho cha afya , na wanatamani kikamilike na kuanza kutoa huduma haraka, na kuongeza kuwa Kituo kinategemea kuhudumia takribani elfu 20 wa kata ya Oloirien na vitongoji vyake pamoja na watu wa vitongoji vya kata za jirani.

Ziara hiyo ya Kamati ya fedha ni ya kawaida yenye jukumu lamkukagua shughuli za utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya halmasahuri kwa kila robo ya mwaka,myaani kila baada ya miezi mitatu.

ARUSHA DC#

KaziInaendelea ✍✍✍

 PICHA ZA MATUKIO 














Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.