TANGAZO TANGAZO TANGAZO
Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, anawatangazia wananchi wote wa Halmashauri ya Arusha, kulipa kodi za viwanja vyao mara moja.
Wadaiwa wote wanatakiwa kufika kwenye Ofisi za Ardhi, Halmashauri ya Arusha kupata Control Namba kwa ajili ya malipo.
Au kulipa kwa miamala ya simu za mkononi (mpesa/tigopesa, airtel money). *152*00#– Chagua na 1 Malipo ya Serikali - 2. Kadiria kodi ya Kiwanja, 2. Mikoa Mingine, 1. Namba ya Hati(fuata maelekezo).
Wadaiwa wote mnatakiwa kulipa madeni yenu yote ndani ya siku 14, kwanzia siku ya leo (siku ya tangazo). Mwisho wa kulipa ni tarehe 11/03/2020.
Watakaoshindwa kulipa Baada ya siku 14 zilizopangwa, watafikishwa mahakamani.
Soma Maelekezo kwenye barua
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.