• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WANAFUNZI 7,018 WA KIDATO CHA KWANZA ARUSHA DC, WAANZA RASMI MASOMO YA SEKONDARI 2021

Posted on: February 22nd, 2021

Na. Elinipa Lupembe.

Jumla ya Wanafunzi 7,018 waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza mwaka 2021, tayari wameanza mosomo rasmi, katika shule sekondari za serikali walizopangia baada ya kufaulu mitihani wa darasa la saba uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2020.

Afisa Elimu sekondari, halmashauri ya Arusha, Mwl. Menard Lupenza, amefafanua kuwa, jumla ya wanafunzi 7,018 sawa na asilimi 888, walio chaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwenye shule za sekondari za serikali za halamshauri ya Arusha, tayari wameripoti shuleni na kuanza rasmi safari yao ya masomo ya elimu ya sekondari. 

Afisa Elimu Lupenza amefafanua kuwa jumla ya wanafunzi 7,886 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanaza mwaka 2021, wanafunzi 7, 018 tayari wamekwisharipotii kwenye shule walizopangiwa na kuanza masomo ya ya sekondari ambapo wasichana ni 3,153 na wavulana 2,746,  na kuongeza kuwa kati ya hao, wanafunzi 607 wamehamia kwenye shule nyingine za serikali ndani na nje ya halmashauri ya Arusha.

"Kati ya wanafunzi 7,018, tumefuatilia idadi ya wanafunzi 512 wamekwenda kujiunga na shule za binafsi, na kama halmashauri tumejiridhisha na uandikishwaji wa wanafunzi hao kwenye shule za binafsi, lakini jumla ya wanafunzi 868, wasichana 432  na wavulana 436 sawa na asilimia 11, hawa bado hawajaripoti kwenye shule walizopangiwa, tunaendelea na utaratibu wa kuwatafuta kwa kushirikiana na maafisa watendaji wa kata na vijiiji na viongozi wa vijiji". Amefafanua Afisa Elimu huyo.

Naye mkuu wa shule ya sekondari Oldonyowas, mwalimj Richard Mugabuso amethibitisha kupokea jumla ya wanafunzi 67 kati ya wanafunzi 83 waliopangiwa, na kuongeza kuwa, jumla ya wanafunzi 63 walihamia kutoka shule nyingine walizopangiwa na wanafunzi 12 wamehama kwenda shule nyingine na sekondari, huku wanafunzi 4 tu hawajaripoti shuleni hapo.

Hata hivyo mkuu wa shule ya sekondari Mukulat, mwalimu ...naye amethibitisha kupokea jumla ya wanafunzi 279 wavulana 117 na wasichana 163 kati ya wanafunzi 300, waliopangiwa shuleni hapo kuanza masomo ya sekondari Januari mwaka 2021.

Wakati huo huo mchakato wa kuendelea na ujenzi wa kukamilisha ujenzi wa vyumba 52 vya madarasa, wakati vyumba 42 viko hatua za ukamilishaji, vyumba 5 viko kwenye hatua ya lenta, vyumba 4 viko kwenye kupandisha kuta na chumba 1 kiko kwenye hatua ya msingi.

Uongozi wa halmashauri ya Arusha, unawataka wazazi na walezi ambao hawajawawezesha watoto wao waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2021, kuhakikisha wanafunzi hao wanarepoti kwenye shule walizopangiwa, na kushindwa kufanya hivyo, seriakli itawachukulia hatua za kisheria.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA August 14, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI MTENDAJI WA HALASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA BW. SELEMAN MSUMI AWASHONEA SARE MADEREVA WA HALMASHAURI HIYO

    October 02, 2025
  • WIZARA YA KILIMO KUPITIA MAMLAKA YA UDHIBITI WA NAFAKA NA MAZAO MCHANGANYIKO (COPRA) YAZINDUA RASMI MSIMU WA UNUNUZI WA ZAO LA PARACHICHI KWA MWAKA 2025/2026

    September 27, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ARUMERU MWINYI AHMED MWINYI AHITIMISHA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT)

    September 21, 2025
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA AWAASA WANANCHI KUJENGA UTAMADUNI WA USAFI

    September 21, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.