• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WANAFUNZI OLDONYOSAMBU WAMSHUKURU MAMA SAMIA KUWAJENGEA SHULE YA MSINGI NAISURA

Posted on: July 11th, 2023

Na Elinipa Lupembe

Wanafunzi wanaoishi kijiji cha Lemanda wanaosoma shule ya msingi Oldonyosambu wamemshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajengea shule ya msingi kijijini kwao, shule ambayo itaondoa changamoto ya watoto hao kutembea umbali mrefu.
Wanafunzi hao wamesema kuwa wamekuwa wakitembea umbali wa zaidi ya Kilomita 15 kwenda na kurudi shuleni kila siki jambo ambalo licha ya kusababisha changamoto za kimwili na kisaoikolojia linasababisha pia baadhi ya watoto kuacha shule kwa kujata tamaa ya kuendelea na masomo.
Zawadi Simon wanafunzi wa darasa la 6 shule ya msingi Oldonyosmabu amemshukuru mama Samia kwa kujenga shule ya msingi kijiji cha Lemanda, shule ambayo itawaondoelea changamoto ya kutembea umbali mrefu na kuwapa nafasi ya kusoma kwa bidii.
"Tunamshukuru sana Mama Samaia atatusaidi kusoma karibu na nyumbani, tunatembea umbali mrefu kutoka Lemanda mpaka shuleni, tunafika shuleni tumechoka sana na tunarudi nyumbani tumechoka" Amesema Zawadi
Elia Stephano mwanafunzi wa shule ya msingi Oldonyosambu,  ameweka wazi kuwa uwepo wa shule karibu na nyumbani, utasaidia watoto wote kupata elimu kwa kuwa baadhi ya watoto hukosa fursa ya kupata elimu kwa kisingizio cha umabali wa shule.
"Tunamshukuru sana mama, watoto wote wa kijiji cha Lemanda sasa watasoma, wengi walikuwa wanashindwa kupata elimu kutokana na umbali wa shule ilipo" Amebainisha Stephano
Hata hivyo wazazi na walezi wa kijiji cha Lemanda, hawajasita kuishukuru Serikali ya awmau ya sita chini ya uongizi wa Rais Samia kwa ujenzi wa shule hiyo ya msingi.

Kiongozi wa mila, Laigwanai Olais Sarayan, amempongeza mama Samia kwa mradi huo wenye manufaa kwa watoto wao, na kubainisha  kuwa wao kama wananchi wasingeweza kujenga shule hiyo hata kwa miaka mia moja ijayo  uongozi wake" Amefafanua Mzee Sarayani 


Naye mzee Lukumai licha ya kupongeza juhudi hizo za serikali ya awamu ya sita, amekiri kushirikiana na serikali kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kwenda shule wanaandikishwa kwa wakati kwa kuwa tayari tuna madarasa ya awali.

"Sisi kama wazazi tutahakikisha watoto wote wanaanza shule kwa wakati, kuanzia darasa la awali, tutawahudumia watoto wetu kwa chakula, mavali na mahitaji yote ya shule, tumefurahi sana kujengewa shule kijiji chetu cha Lemanda.

Serikali imetoa kiasi cha shilingi milioni 306.9 za ujenzi wa shule mpya ya msingi kupitia fedha za mraci wa BOOST zikijumuisha jumla ya madarsa 9, mawili ya elimu ya awali,  saba ya elimu ya msingi jengo la Utawala, matundu ya vyoo pamoja na samani za shule hiyo.

ARUSHA DC NI YETU, TUSHIRIKIANE KUIJENGA
#kaziiendelee

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.