Wanafunzi wa shule ya sekondari Kiseriani kata ya Mlangarini, wameshiriki kwenye zoezi la kupanda miti kuzunguka shule yao, wakati wa Kilele cha Maadhimisho wa Siku ya Mazingira Duniani 2023, sherehe zilizofanyika shuleni hapo.
Kauli Mbiu: Tumia Mfuko Mbadala wa Plastiki, Kwa Ustawi wa Afya, Mazingira na Maendeleo ya Uchumi.
ARUSHA DC ni Yetu, Tushirikiane Kuijenga"
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.