Wananchi wa Jimbo la Arumeru Magharibi wamejitokeza katika zoezi liloanza leo tarehe 11 hadi 17/12/2024 la kujiandikisha katika Daftari la Kuduma la Wapiga Kura kwa lengo la kupata Vitambulisho vitavyowasaidia katika kutumia haki yao ya msingi kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani mwaka 2025
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.