Mkuu wa Wilaya ya Arumeru,Mhe.Emmanuela Mtatifikolo Kaganda amesema kuwa Serikali imekuwa ikiwekeza fedha nyingi katika miuondombinu mbalimbali ikiwemo ya maji, hivyo kitenda cha Wananchi wa Kata ya Oltroto kuvamia na kuharibu mabomba kwa kisingizio cha kuukataa uongozi wa Kijijiji ni ukiukwaji wa sheria na taratibu za Serikali. hivyo aliviagiza vyombo vya sheria kuchukua mkondo wake kwa kuwatia nguvuni wale wote walioshiriki hujuma hizo.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.