• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WANAOTUMIA MFUMO WA MALIPO YA FFARS WATAKIWA KUTUMIA MFUMO HUO KWA USAHIHI

Posted on: August 9th, 2023

Na Elinipa Lupembe

Wahasibu na watumishi wanaohusika na masuala ya fedha kwenye Hospitali, vituo vya afya,  zahanati, shuke za msingi na sekondari pamoja na vijiji na kata halmaahauri ya Arusha wametakiwa kuhakikisha wanatumia vema mfumo wa malipo ya Serikali (Facilty Financial Account and Reporting System ( FFARS) ili kufikia lengo la serikali la matumizi sahihi na salama ya fedha za Umma.

Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Kitengo cha Fedha, halmashauri ya Arusha CPA David Rubibira wakati akifungua mafunzo ya siku 5 yatakayowajengea uwezo wahasibu na watunza fedha za serikali wa kutumia mfumo huo wa FFARS awamu ya pili, mafunzo yanayoendelea kwenye ukumbi mdogo wa halamashauri ya Arusha.

Licha ya kuwataka kuwa makini wakati wa mafunzo hayo, amesisitiza kwenda kutumia vema mfumo huo wa FFARS unawezesha kuwepo na uwazi na uwajibikaji sehemu za kutolea huduma hususani kwenye mashule na vituo vya kutolea huduma za afya na utasaidia ufuatiliaji wa matumizi sahihi ya fedha zinazoingizwa kwenye akaunti zote za Umma.

"Mfumo huu pia utawezesha fedha zitumike kulingana na bajeti iliyopitishwa pamoja na upatikanaji wa taarifa mbalimbali kutoka kwenye vituo vya kutolea huduma ikiwemo taarifa za mapato ya kila mwezi, hivyo mkiutumia vizuri utawarahisishia kazi na kutuondela hoja za ukaguzi zisizo za lazima" Amefafanua CPA. Rubibira

Ameongeza kuwa FFARS imeunganishwa na mifumo mingine ya serikali ikiwemo mfumo wa PlanRep  unaoandaa na kutoa taarifa za utekelezaji wa bajeti pamoja na kuonesha mapokezi ya fedha na fedha zilizoingia benki.

Naye mratibu na mwezeshaji wa Mafunzo ya Mfumo huo wa FFARS halmashauri ya Arusha Joseph Chenya, amesema kuwa mafunzo hayo ni muhimu kwa watumishi wote wanaohusika na mifumo ya fedha za serikali na yatafanyika kwa awamu tatu tofauti ili kuwapa furasa watumishi hao kupata uwelewa wa pamoja juu ya matumizi sahihi ya mfumo huo.

Amesema kuwa wameanza na Wahasibu na walimu wa fedha kwa shule za sekondari, na kufuatia walimu wa fedha shule za msingi, wahasibu wa vituo vya afya na zahanati na kumalizia kwa Maafisa Watendaji wa vijiji na kata.

ARUSHA DC NI YETU, TUSHIRIKIANE KUIJENGA ✍✍

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.