• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WANAWAKE ARUSHA DC WATAKIWA KUSAJILI VICOBA VITAMBULIKE KISHERIA KUEPUKA UTAPELI.

Posted on: March 5th, 2023

Na Elinipa Lupembe


Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani tarehe 08. Machi, Wanawake wameshauriwa kusajili vikundi vya huduma ndogo za fedha maarufu kama 'VICOBA' ili vitambulika kisheria kwa usalama wa fedha wanazowekeza na kukopeshana lengo likiwa kuepuka kutapeliwa.


Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, halmashauri ya Arusha, Stedvant Kileo, wakati wanawake wa kata ya Kiutu, wakiadhimisho ya siku ya wanawake Duniani, sherehe zilizofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Sekei.


Amesema kuwa wanawake wengi hupoteza pesa zao kwa kukopeshana kwenye vikundi visivyo sajiliwa na kushindwa kupata msaada wa kisheria pindi wanapopata changamoto za kutapeliwa na wanavikundi wenzao na kusababisha kushindwa kuchukuliwa hatua zozote, kutokana na vikundi hivyo kutokusajiliwa na kutambulika kisheria.


Hata hivyo Kileo amebainisha kuwa serikali baada ya kugundua changamoto hiyo, bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetinga sheria ya kusimamia vikundi vya kijamii vya huduama ndogo za fedha (VICOBA) kwa visajili bure kwenye halmashauri husika ili vitambulike kisheria.


"Uzoefu unaonesha, kutokana baadhi ya vikundi kufanyashughuli za kuweka na kukopa bila kusajiliwa, vikundi vimepoteza fedha kwa kudhulumiwa na wanavikundi wenzao, huku serikali ikishindwa kuwabana watuhumiwa hao, sajilini bikundi ili kuepukana na hasara hizo". Amefafanua Kileo.


Hata hivyo Kileo amewasisitiza wanawake wenye vikundi vya VICOBA,  kufika ofisi za makao makuu ya halmashauri kupata msaada wa namna ya kusajili vikundi na kuwathibitishia kuwa vikundi hivyo kwa sasa vinasajiliwa bure bila malipo.



Siku ya Wanawake Duniani huadhimishwa tarehe 08.Machi kila mwaka, kina mama wa kata ya Kiutu wameadhimisha siku hiyo muhimu kwa yenye Kauli mbiu isemayo "Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia: Chachu  katika kuleta Usaw wa Kijinsia"


"ARUSHA DC ni Yetu, Tushirikiane Kuijenga"


#kaziinaendelea✍✍✍✍


PICHA ZA MATUKIO




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.