• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WANAWAKE WAJITOKEZA KUPATA MSAADA WA KISHERIA BURE

Posted on: September 10th, 2022

Wananchi wanaendelea kujitokeza kwa wingi katika Kampeni ya utoaji msaada wa kisheria inafanyika kwenye viwanja vya KKKT Ilkiding'a, huku wanawake wakimiminika kwa wingi, kupata msaada wa kishria bure.

Kina mama hao wameweka wazi kuwa wameridhishwa na huduma hiyo ya kisheria bure, iliyowawezesha kupata elimu ya mambo mengi, ikiwemo haki za watoto, wajibu wa wazazi kwa watoto, umiliki wa ardhi kwa wanawake pamoja na kufahamu umuhimu wa utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala.

Nai Paulo, amebainisha kuwa, kupitia elimu tuliyopata, itapunguza hali ya Unyanyasaji na ukatili dhisi ya wanawake na watoto, kwa kuwa wengi wetu walikuwa gizani.

Mwenyekiti wa Jumuia yawazazi CCM kata ya Ilkiding'a Paulo Ngalabali, amesema kuwa mara nyingi jumuia hiyo, bado watoto wanafanyiwa ukatili ndani ya familia zetu, jumuia imekuwa ikishirikiana na wadau kutoa elimu na mapambano dhidiya ukatili.

"Katika Kampeni hii, tumeshuhudia Waziri mwenye dhamana ya sheria, na watalamu wakisistiza sheria za kuwabana watu wanaofanya matukio ya ukatili dhidi ya watoto na adhabu zake, hivyo tuungane kupambana na ukatili huo". Ameshauri Ngalabali.



Afisa Ustawi wa Jamii, Josina Mlaki, akitoa maelezo ya kazi zinazofanya na kitengo hicho kwa Waziri wa Katiba na Sheria, Mh. Dkt. Damas Ndumbaro, alipotembelea banda la halmashauri ya Arusha, wakati wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria, kwenye viwanja vya kanisa la KKT lkiding'a.











Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.