• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WASICHANA ENYOITO WALALAMIKIA UMASIKINI NA WAZAZI CHANZO CHA MIMBA ZA UTOTONI

Posted on: October 9th, 2020

Na. Elinipa Lupembe.

    Wasichana wa shule ya Sekondari Enyoito, wamelalamikia umaskini na wazazi kutokuwafuatilia watoto wao ndio chanzo cha mimba za utotoni.

      Wamesema hayo wakati wa mdahalo wa namna ya kukabiliana na changamoto za ujana, zinazopelekea wasichana kupata mimba, mdahalo uliofanyika kwenye ukumbi mdogo, shule ya sekondari Enyoito.

    Wameweka wazi kuwa, wazazi wengi wamewekeza muda mwingi kwenye harakati za kutafuta kipato na kushindwa kutenga muda wa kuwafuatilia watoto wao, jambo linalowasababisha wasichana wengi kushindwa kujisimamia na kujikuta wakiingia kwenye vitendo vya ngono kwa kukosa mwongozo sahihi wa wazazi.

   "Unakuta mzazi anaondoka nyumbani asubuhi, mapema kwenda kwenye shughuli zake anarudi usiku, pengine watoto wamelala, hana muda wa kuzungumza na watoto, anachojali ameacha chakula na matumizi mengine ya muhimu ya watoto, watoto wanajikuta wanajilea wenyewe ama na msichana wa kazi, jambo hili linawaangiza wasicha kwenyw ngono na kupata mimba zisizotarajiwa"wamethibitisha wasichana hao

     Wameongeza kuwa, umasikini nao unasababisha wasichana kuingia kwenye vishawishi vya zawadi na pesa kutoka kwa vijana na kujikuta wakiingia kwenye vitendo vya ngono, ili kujipatia mahitaji muhimu.

      Msichana anakuja shuleni, anatembea umbali mrefu, huku mzazi wake hajampa nauli, wala hajamlipia pesa ya chakula shuleni, kutokana na hali hiyo, wengi wanashindwa kuvumilia na kuingia kwenye mitego na vishawishi vya wanaume, na kujikuta wamebeba ujauzito na kukatisha masomo na kukatiza ndoto zao.

       Hata hivyo mtalamu wa Saikolojia na Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Zena Daudi,  amewasihi wasichana licha changamoto zinazowakabili, ikiwemo hali duni za maisha ya wazazi wao, wanatakiwa kujiamini, kujithamini na kuwa na malengo pamoja  na kujikubali na hali zao, jambo ambalo litawawezesha kuepuka vishawishi na kufikia ndoto zao, changamoto za dunia hii ni nyingi mnoo hivyo wana jukumu la kukabiliana nazo.

       "Ukiwa na malengo na kujiamini na hali yako, huwezi kushawishika wala kujiona mnyonge na hali ya maisha ya wazazi wako, msichana hakikisha unajiamini, na kuridhika na maisha yako, usikubali umasikini wako ukushalilishe na kukatisha malengo na ndoto za maisha yako" amesisitiza Mwanasaikolojia Zena.

   Mdahalo huo umeendeshwa na watalamu wa halmashauri ya Arusha, kwa kushirikiana na shirika la Jhpeigo kupitia Mradi wa Tupange Pamoja, unaowezesha vijana kupata Huduma Rafiki kwa Vijana na elimi ya  afya ya Uzazi, kwa ufadhili wa Mfuko wa Bill&Melinda Gate la nchini Marekani.








Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.