• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA ARUMERU MAGHARIBI, WATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA WAKATI WOTE WA UCHAGUZI

Posted on: August 7th, 2020

Na . Elinipa Lupembe.

  Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata, Jimbo la Arumeru Magharibi, wametakiwa kusimamia Kanuni, Sheria na taratibu za uchaguzi, kwa kutokujiingiza kwenye siasa, katika kipindi chote cha mchakato wa uchaguzi mkuu, unaotegemea kufanyika tarehe 28 Oktaba, 2020.

  Rai hiyo imetolwa na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arumeru Magharibi, Saad Mtambule, wakati akifungua mafunzo ya siku tatu kwa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya kata, mafunzo yanayofanyika kwenye ukumbi wa mikutano halmashauri ya Arusha.

   Maimamizi huyo ngai ya Jimbo,  amewaasa Wasimamizi hao wasaidizi, kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia kanuni, taratibu na sheria zinazoelekezwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, taratibu ambazo zitawezesha kuwa na uchaguzi huru na haki kuanzia kipindi chote cha mchakato wa uchaguzi na hatimaye siku ya uchaguzi mkui.

  "Tunalo jukumu kubwa la kuhakikisha uchaguzi unasimamiwa kwa kufuata kanuni, taratibu na sheria za Uchaguzi, tumekula kiapo leo cha kutunza siri na kutokujihusisha na shughuli za chama chochote cha siasa, simamieni kanuni bila kuyumbishwa na mtu yoyote" amesisitiza Msimamizi huyo wa Uchaguzi.

    Naye Afisa Sheria Tume ya Taifa ya Uchaguzi Athmani Dunia, ameweka wazi kuwa mafunzo hayo ya siku tatu, yana lengo la kuwajengea uwezo na kuwa na uelewa wa pamoja, juu ya kuratibu na kutekeleza majukumu ya uchaguzi mkuu, majukumu yaliyokasimiwa kwao na serikali kupitia Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

     Hata Mwenyekiti wa mafunzo na Msimamizi Msaidizi ngazi ya kata, kata ya Nduruma, Loishuli Mollel, ameweka wazi kuwa wako tayari kupokea mafunzo, wanajiamiji na waka tayari pia kutekeleza majukumu hayo ya uchaguzi kwa mujibu wa kanuni, sheria na taratibu za uchaguzi mkuu.

   Jumla ya wasimamizi wasaidizi 54 wa uchaguzi ngazi ya kata, kutoka kata 27 za  Jimbo la Arumeru Magharibi, wameanza kupata mafunzo ya Uchaguzi Mkuu, mafunzo yaliyoambatana na watalamu hao kula kiapo cha kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu kipindi chote cha mchakato wa uchaguzi mkuu kuelekea tarehe 28 Oktoba, 2020.

PICHA ZA MATUKIO

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arumeru Magharibi, Saad Mtambule akifungua Mafunzo ya uchaguzi  kwa Wasimamizi wasaidizi ngazi ya kata,  Mafunzo  yanayofanyika kwenye Ukumbi wa mikutano halmashauri ya Arusha.

Wasimamizi Wasaidizi ngai ya Kata Jimbo la Arumeru Magharibi,  Wakisaini fomu za kiapo kabla ya kuanza Mafunzo ya Uchaguzi, yanayofanyika kwenye Ukumbi wa mikutano halmashauri ya Arusha.


Afisa Sheria Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Athman Dunia, akizungumza na Wasimamizi Wasaidizi  wa Uchaguzi ngazi ya Kata, Jimbo la Arumeru Magharibi, wakati wa mafunzo kwenye ukumbi wa mkikutano, halmashauri ya Arusha.




Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA August 14, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI MTENDAJI WA HALASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA BW. SELEMAN MSUMI AWASHONEA SARE MADEREVA WA HALMASHAURI HIYO

    October 02, 2025
  • WIZARA YA KILIMO KUPITIA MAMLAKA YA UDHIBITI WA NAFAKA NA MAZAO MCHANGANYIKO (COPRA) YAZINDUA RASMI MSIMU WA UNUNUZI WA ZAO LA PARACHICHI KWA MWAKA 2025/2026

    September 27, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ARUMERU MWINYI AHMED MWINYI AHITIMISHA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT)

    September 21, 2025
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA AWAASA WANANCHI KUJENGA UTAMADUNI WA USAFI

    September 21, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.