Na Elinipa Lupembe
Wakuu wa Idara na Vitengo, halmashauri ya Arusha wakiwa kwenye mafunzo ya mikakati ya utekeelzaji wa shughuli za maendeleo ya Jiji la Mwanza ikiwemo ukusanyaji wa mapato, mikakati ya usimamizi wa miradi mkakati, mafunzo yaliyotolewa na Watalamu wa Idara ya Mipango wa Jiji la Mwanza.
Watalamu hao wamefanikiwa kubadilishana uzoefu katika ushuru wa masoko, machinjio na ukusanyaji wa taka ngumu, matumizi bora ya ardhi kwa kuzinga Mpango Kabambe wa Ardhi 'master plan' pamoja na mikakati ya ukusanyaji mapato.
ARUSHA DC
KaziInaendelea✍
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.