Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha Dkt. Wilson Mahera amefungua mafunzo ya siku nne ya Mfumo wa kuandaa bajeti wa PLANREP kwa wataalamu wa Halmashauri ya Arusha yanayofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri hiyo.
Mafunzo hayo yamejumuisha wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Maafisa Bajeti kutoka kwenye Idara na Vitengo ambao kwa pamoja watajihusisha na utaratibu mzima wa uandaaji wa bajeti kwenye maeneo yao kulingana na shughuli zitakazofanyika na mfumo mzima wa matumizi kulingana na bajeti zao.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.