• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAWESHAJI 40 ARUSHA DC WAPATA MAFUNZO YA KUWEZESHA KAYA MASIKINI KUJIUNGA VIKUNDI VYA KUWEKA NA KUKOPA....

Posted on: March 9th, 2023

Na Elinipa Lupembe

Wawezeshaji 40 ngazi ya wilaya, wamepatiwa mafunzo kwa ajili ya kwenda kufundisha kaya zilizo kwenye Mpango wa Kunusuru Umasikini, mradi unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii ( TASAF IV), kuunda vikundi vya kujiwekea akiba.


Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo ya siku tano, Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Arusha, Elizabeth Ngobei, amewataka watalamu hao, kutumia maarifa watakayopata kuwezesha jamii kujiunga kwenye vikundi ili kujiinua kijamii na kijamii.


Amewataka watalamu hao kutumia fursa hiyo kuwezesha wanakaya kujiunga kwenye vikundi pamoja na kuhakikisha vikundi hivyo vinatekekeza majumu yao kulingana na mpango taratibu zilizowekwa na TASAF.


"Mnalo jukumu kubwa la kuhakikisha wanakaya hasa kina baba kutambua umuhimu wa kujiunga kwenye vikundi vya huduma ndogo za fedha, na si kuwaachia wa wanawake peke yao, jambo ambalo linaleta mogogoro kwenye kaya, kina baba wanatakiwa kufahamu pesa za TASAF ni la kaya nzima".Amesisitiza Kaimu Mkurugenzi


Hata hivyo Mratibu wa huduma za Vikundi  TASAF Makao Makuu, Ester Kivuyo,  amesema kuwa lengo mafunzonhayo ni kuzijengea uwezo kaya za walengwa kuwa na utamaduni wa kujiwekea akiba na kutumia akiba hizo katika kukopeshana katika vikundi ili kuendeleza miradi ya kiuchumi ili kujionhezea kipato cha kaya.


Hata hivyo Mratibu wa TASAF, Halmashauri ya Arusha, Grace Makema, amesema kuwa lengo la mafunzo kwa watalamu hao ni kuwajengewa uwezo watalamu watakao kwenda kuzifundisha kaya ngazi ya kijiji.


Amafafanua kiwa mambo muhimu yatakayofanywa na wawezshaji hao ni kuwafundisha wanakaya, uanzishwaji na usajili wa vikundi, uongozi wa vikundi, uandaaji wa katiba, elimu mwendo kwa vikundi, kuweka akiba na kuwekeza pamoja na  usimamizi wa mikopo, utunzaji wa kumbukumbu na urejeshaji wa mikopo.


Awali zoezi hili la mafunzo ngazi linategemea kufanyika kwenye halmashauri 13 za mikoa ya Arusha na Njombe huku halmashauri ya Arusha ikiwa miongoni mwake.


"ARUSHA DC ni Yetu, Tushirikiane Kuijenga"

#kaziinaendelea✍

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA August 14, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KUFUATILIA NA USAMIZI WA HAKI ZA MTOTO KATIKA JAMII NI JAMBO MUHIMU

    August 25, 2025
  • RAIS SAMIA AMUAPISHA AMOS MAKALLA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    August 26, 2025
  • DKT. JAHANNES LEMBULUNG' LUKUMAY ACHUKUWA FOMU YA UGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI

    August 25, 2025
  • KIKAO KAZI CHA WENYEVYITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA (CEOs Forum 2025)

    August 24, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.