• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAZAZI ARUSHA DC WATAKIWA KUWAPA WATOTO NA FAMILIA LISHE BORA

Posted on: June 23rd, 2022

Na Elinipa Lupembe.

Wazazi halmashauri ya Arusha, wamewataka kuhakikisha wanawapa watoto na familia lishe bora, ili kuwakinga na magonjwa na utapiamlo uliokidhiri, kwa kuwa lishe bora ndio msingi wa familia bora na Taifa bora.


Rai hiyo imetolewa na Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ndugu Sahili Nyanzabara Geraruma, kwenye mradi wa Kituo cha Kutoa Virutubisho kwa watoto wenye utapiamlo, kituo kinachoendeshwa na Asasi ya Kiraia ya Walk in Love Tanzania, amesisitiza kuwa lishe bora ni muhimu kwa watoto kwa kuwa ndio inayomjenga na kumuwezesha mtoto kukua kimwili, kisaikoloji na  kiakili.

"Mtoto anapopata lishe bora kuanzia mdogo itamkinga na maradhi menginikiwemo utapiamlo, lakini zaidi, inamuwezesha kukua vizuri na hatimaye kuwa mjenzi wa taifa letu, watoto ni taifa la kesho ni vema, wazazi tutekeleze jukumu letu la kuwapa lishe bora" amesisistiza Kiongozi huyo wa Mwenge wa Uhuru.

Aidha amewataka wazazi pia kuzikinga familia zao dhidi ya ugonjwa wa malaria, kwa kutumia vyandarua vyenye dawa pamoja na kuwapeleka watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano kliniki, pamoja na kuzingatia maelekezo wanayopewa na watalamu wa afya.

Katika mradi huo, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, aligawa chakula lishe na vyandarua kwa kina mama ambao wanahudumiwa na kituo hicho cha Lishe.

Hata hivyo kina mama hao wameishukuru shirika hilo kupitia serikali kwa huduma hiyo wanayoipata, huduma ambayo imesaidia kuokoa maisha ya watoto wao.

Kauli Mbiu ya Mwenge wa Uhuru: Sensa ni Msingi wa Mipango ya Maendeleo, Shiriki Kuhesabiwa, tuyafikie Maendeleo"


Mwenge wa Uhuru Oyeee




Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ndugu Sahili Nyanzabara akizungumza na wakazi wa Mateves wakati alipotembelea Kituo cha KUutoa Lishe kwa watoto wenye utapiamlo.


Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ndugu Sahili Nyanzabara akiwakabidhi vyandarua kinamama wanaohudumiwa katika Kituo cha KUutoa Lishe kwa watoto wenye utapiamlo, kilichopo kata ya  Matevesi.



Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ndugu Sahili Nyanzabara akiwakabidhi Chakula Lishe kinamama wanaohudumiwa katika Kituo cha KUutoa Lishe kwa watoto wenye utapiamlo, kilichopo kata ya  Matevesi.




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.