• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAZEE 25 WASIOJIWEZA WAPATIWA MSAADA WA CHAKULA; JAMII YATAKIWA KUSAIDIA WAZEE...

Posted on: October 7th, 2023

Na Elinipa Lupembe

Halmashauri ya Arusha imefanikiwa kuwagawia msaada wa chakula wazee 25  wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani 2023 yaliyofanyika kijiji cha Nduruma kata ya Nduruma.

Akikabidhi chakula hicho Mwenyekiti halmashauri ya Arusha, Mhe.Dkt. Ojung'u Salekwa amesema kubwa halmashauri imetoa chakula hicho kama ishara ya upendo na kuwajali wazee wenye uhitaji.

Amesema kuwa serikali inatambua haliduni za kiuchumi kwa baadhi ya wazee na inaendelea kutatua changamoto hizo kwa kuwaingiza kwenye mpango wa kunusuru kaya masikini, mradi unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF. 

Amefafanua kuwa licha ya kuwa kuna malalamiko ya baadhi ya wazee kutokuwepo kwenye  mpango, amewataka kuwa wavumilivu kwa kuwa bado serikali inaendelea kufanya uhakiki wa kaya zenye uhitaji ambazo haziko kwenye mapngo wa TASAF kwa awamu na pindi ukikamilika kaya hizo zitaingizwa kwenye mpango huo.

 Hata hivyo amewataka watoto kuendelea kuwahudumia wazazi wao bila kuchoka wala kukata tamaa kwa kuwa wazazi nao walitumia muda mwingi kuwahudumia, zaidi ameitaka jamii na wadau kushirikaina kwa pamoja kuwajali na kuwahudumia wazee.

"Wazee wanahitaji upendo, wanahitaji kulelewa na kuthaminiwa, tusiwatelekeze na kuona hawafai bali tushirikiane kuwahudumia na sio kuiachia serikali peke yake, kwa kufanya hivyo watapata baraka kutoka kwa Mwenyenzi Mungu, tutambue kuwa wazee hawa ni tunu ya taifa letu, tunalo jukumu la kuwabudumia bila kuchoka" Asisitiza Mhe. Dkt. Ojung'u

Naye Afisha Ustawi wa Jamii, halmashauri ya Arusha Beatrice Tengi amesema kuwa ugawaji wa chakula hicho umezingatia wazee wenye uhitaji zaidi na kufafanua kuwa kila mmoja amepata Kilo 10 za mchele, chumvi sukari na sabuni za kufulia.

Awali Maadhimisho ya Siku ya Wazee yana lenga kuhamasisha jamii kuongeza uelewa wa juu ya masuala yanayohusu uzee na kuzeeka ikiwemo haki zao na upatikanaji wa huduma muhimu kwa wakati.


Kauli mbiu:"Udhibiti wa Wazee kwenye Dunia yenye mabadiliko"


ARUSHA DC NI YETU, TUSHIRIKIANE KUIJENGA

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.