• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wazee 61 kata ya Kiutu wapata uhakika wa matibabu kupitia kadi za 'CHF'.

Posted on: April 14th, 2018

Jumla ya wazee 61 wa kata ya Kiutu kati ya wazee 692 wa halmashauri ya Arusha wamepata uhakika wa matibabu baada ya kukabidhiwa kadi za matibabu za Mfuko wa Afya ya Jamii 'CHF', zoezi liliofanyika kwenye ofisi ya kata ya Kiutu.           

Wazee hao wamekabidhiwa kadi za Bima ya Afya zitakazowawezesha kutibiwa bure kwenye vituo vyote, vinavyotoa huduma za afya ndani ya halmashauri ya Arusha.      

Akizungumza wakati wa kukabidhi kadi hizo, Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha Dkt. Wilson Mahera amesema halmashauri imefika hatua hiyo, mara baada ya kugundua adha wanayoipata wazee ya kugharamia matibabu pindi wanapougua.

Wazee ambao kwa kiasi kikubwa kwa namna moja au nyingine walilitumikia taifa hili la Tanzania pindi wakiwa na nguvu zao na serikali imeona ni vema kuwathamini na kuendelea kuwatunza ili kuenzi michango yao ya kuijenga nchi hii.         

 Aidha Dkt. Mahera amesema kuwa kuwapa wazee kadi za bima ya afya  ni mkakati wa serikali ya awamu ya tano, wa kuhakikisha wazee wanakuwa na uhakika wa kupata matibabu pindi wanapougua.     

 "Serikali imepanga mikakati thabiti ya kuboresha miundombinu ya  vituo vyake vya kutolea huduma za afya, pamoja na kuhakikisha uwepo wa vifaa tiba na dawa ili kurahisishia watanzania upatikanaji wa matibabu muhimu kwenye maeneo yao" amesema Mkurugenzi Mahera.       

     Naye Diwani wa kata ya Kiutu, Mhe. Zephania Sirikwa amemshukuru mkurugenzi na uongozi wa halmashauri ya Arusha, kutenga fedha kwa ajili ya kuwahudumia wazee hasa katika matibabu na kuongeza kuwa licha ya wazee hao kuwa na uhakika wa matibabu lakini pia kadi hizo zitawapunguzia makali ya gharama za matibabu pindi watakapougua.

Hata hivyo Kaimu Mganga Mkuu, halmashauri ya Arusha Dkt. Peter Mboye amethibitisha uwepo wa madirisha maalumu ya kuwahudumia wazee kwenye vituo vya afya na hospitali ya wilaya.    

Maadirisha ambayo ni maalumu kwa lengo la  kuwapunguzia adha wazee adha ya kukaa muda mrefu wafikapo kupata huduma ya afya.        

Dkt. Mboye amewahakikishia wazee hao uwepo na upatikanaji wa dawa muhimu katika vituo vya kutolea huduma kutokana na serikali kuboresha sekta ya afya.   

Mratibu wa Bima ya Afya ya Jamii halmashauri ya Arusha, Agrey Ngoka amesema kuwa, jumla ya wazee 692 watapewa vitambulisho hivyo, vitakavyotolewa kwa wazee wa kata 14 kwa awamu ya kwanza, vitambulisho vilivyogharimu shilingi milioni 8.7.     

Hata hivyo Ngoka amefafanua kuwa leo wamezindua kwa kutoa vitambulisho kwa wazee 61 wa kata ya Kiutu na zoezi la ugawaji  vitambulisho hivyo litaendelea kwenye kata 13 zilizobaki.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.