• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAZIRI MHAGAMA ATANGAZA TUZO YA RAIS SAMIA KUOKOA VIFO VYA MAMA NA MTOTO MALAWi

Posted on: February 10th, 2025

WAZIRI MHAGAMA ATANGAZA TUZO YA RAIS SAMIA KUOKOA VIFO VYA MAMA NA MTOTO MALAWI


Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama leo Februali 10, 2025 akiwa katika Mkutano wa 74 wa Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki, Kati, na Kusini (ECSA – HC) ameitangaza Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award aliyopewa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa asilimia 80.
Wakati akitangaza tuzo hiyo Waziri Mhagama amesema utafiti wa Demografia na Afya Tanzania wa mwaka 2022 unaonyesha kuwa vifo vitokanavyo na uzazi vimepungua kwa asilimia 80 kutoka vifo 556 kwa kila vizazi hai 100,000 mwaka 2015 hadi vifo 104 mwaka 2022.
Amesema, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa Tuzo hiyo ya 'GOALKEEPERS by Gates foundation' kutokana na uongozi wake mahiri katika kupunguza vifo vya mama, mtoto mchanga na mtoto, ambapo ameendelea kuboresha na kuweka kipaumbele katika huduma za Afya ya kundi hilo.

"Maendeleo ya Tanzania katika kupunguza vifo vya uzazi na watoto ni uthibitisho wa nguvu ya kujitolea pamoja na ushirikiano kwa kuhakikisha kuwa hakuna mwanamke au mtoto anayefariki kutokana na sababu zinazoweza kuzuilika, tuendelee kufanya kazi pamoja kama kanda ili kufikia malengo yetu ya pamoja ya afya na kulinda ustawi wa watu wetu wote," amesema Waziri Mhagama.

Aidha, Waziri Mhagama amesema Serikali ya Tanzania inazingatia kikamilifu na imejitolea kutimiza malengo ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs) ya mwaka 2030, hususan malengo ya kupunguza vifo vya uzazi hadi chini ya 70 kati ya watoto 100,000 wanaojifungua, vifo vya watoto chini ya umri wa miaka Mitano hadi chini ya 25 kwa kila vizazi hai 1,000 na vifo vya watoto wachanga hadi watoto 10.

"Malengo haya yameunganishwa kikamilifu katika sera zetu za kitaifa ikiwa ni pamoja na Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2020-2025, Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2021-2025), Mpango Mkakati wa Sekta ya Afya V (HSSP V, 2021-2026) pamoja na Mpango wa Taifa wa RMNCAH (Mpango Mmoja III, 2021-2026).


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.