WAZIRI MKUU ASHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI YA MIAKA 50 YA TET*
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 07, 2025 ameshiriki katika matembezi ya hisani ya kuadhimisha miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), jijini Dar es Salaam
Viongozi wengine walioshiriki matembezi hayo ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Naibu Waziri wa Wizara hiyo Omari Kipanga na watendaji wengine wa Wizara ya Elimu pamoja nawa Taasisi ya Elimu Tanzania.
Matembezi hayo yalianzia katika viwanja vya Taasisi ya Elimu na kuishia katika taasisi hiyo.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.