• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAZIRI WA AFYA, ATOA TAARIFA YA ONGEZEKO LA WAGONGWA WATANO NA VIFO VIWILI VILIVYOTOKANA NA UGONJWA WA CORONA

Posted on: April 10th, 2020

Na. Elinipa Lupembe.

Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu, ametoa taarifa ya vifo vya Watu 2, waliofariki jana kutokana na Ugonjwa wa Corona, wote ni wanaume, mmoja akiwa na umri wa miaka 51 na mwingine miaka 57, wote ni watanzania na wakazi wa Jiji la Dar es Salaam.

Waziri Ummy amefafanua kuwa vifo hivyo, vimefanya idadi ya vifo kufikia 3, tangu mgonjwa wa kwanza alipothibitika hapa nchini.

Aidha Waziri huyo, ametoa taarifa ya ongezeko la visa vingine vipya vya watu 5, waliogundulika kuwa na maambukizi ya virusi vya COVID 19, wote wakiwa ni watanzania,  na kufikisha jumla ya visa 32 mpaka kufikia jana tarehe 10 Aprili,2020 nakuongeza kuwa kati ya hao, wagonjwa watano wamekwishapona.

Hata hivyo Waziri Ummy, amewasisitiza watanzania, kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa  Corona, kwa kufuata maelekezo yanayotolewa na Serikali kupitia Wizara ya Afya, maelekezo yanayotolewa kwa njia mbalimbali.


         

                         ****** CHUKUA TAHADHARI, JIKINGE NA CORONA*****

1. NAWA MIKONO YAKO KWA MAJI TIRIRIKA NA SABUNI, PAKA SABUNI SUGUA MIKONO YAKO KWA SEKUNDE 20, KISHA SUUZA KWA MAJI SAFI.

2. ACHA NA EPUKA KUGUSA USO WAKO KWA KUWA VIRUSI VYA CORONA VINAINGIA MWILINI KWAKO KUPITIA MDOMO, PUA NA MACHO KWA KITENDO CHA WEWE MWENYEWE KUVIBEBA KWA MIKONO YAKO HIVYO NAWA MIKONO KILA MARA.

3.EPUKA KUGUSA VITU VISIVYO VYA LAZIMA, VIRUSI VYA CORONA VINAKAA KWENYE VITU TUNAVYOVITUMIA KILA SIKU KWA MASAA KADHAA, VITU KAMA CHUMA, MBAO, SIMU, REMOTE, NGUO HIVYO NAWA MIKONO KILA UNAPOGUSA VITU HIVYO.

4.UNAPOPIGA CHAFYA AU KUKOHOA ZUIA/FUNIKA KINYWA NA PUA KWA KIWIKO CHA MKONO WAKO AU KITAMBAA KUEPUKA KUSAMBAZA VIRUSI VYA CORONA. USIZUIE KIKOHOZI AU CHAFYA KWA KIGANJA CHA MKONO WAKO.

5.TUMIA VITAKASA MIKONO 'SANITIZER' KWA KUPAKA MARA KWA MARA UKIWA KWENYE MIZUNGUKO YAKO YOTE AU ENEO LAKO LA KAZI.

6.EPUKA MISONGAMANO YA AINA YOYOTE, KAA AU SIMAMA UMBALI WA ZAIDI YA MITA MOJA NA MTU MWINGINE.

7.WAZAZI HAKIKISHENI  MNAWEKA NDOO ZA MAJI TIRIRIKA NA SABUNI KWENYE MALANGO YA MABOMA YENU, NA KUWAHIMIZA WATOTO KUNAWA MIKONO KILA MARA, HUKU MKIHAKIKISHA WAGENI WANAOINGIA KWENYE NYUMBA ZENU WANANAWA MIKONO KABLA YA KUINGIA NDANI NA PINDI WANAPOTOKA.

8.EPUKA SAFARI ZISIZO ZA LAZIMA, NI VEMA KUTULIA NYUMBANI KAMA HUNA SHUGHULI ZA MSINGI ZA KUFANYA KWENYE MAENEO YENYE MISONAGAMANO.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.