Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) amewasili katika viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma katika hafla ya Tangazo la Uchaguzi wa Mitaa 2024, leo tarehe 15, Agosti 2024.
Kauli mbiu ya Uchaguzi “Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi”
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.