• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WENYEVITI 326 WA VIJIJI NA VITONGOJI WAMEAPISHWA - ARUSHA DC

Posted on: November 29th, 2019

Haya hapa maelekezo waliyopewa wenyeviti wa vijiji na vitongoji mara baada ya kula kiapo cha kuwatumikia wananchi kwa kipindi cha miaka mitano:-

- Serikali ya Kijjiji ndio msingi wa Serikali Kuu, msingi ukiandaliwa vizuri, kila kitu kitakwenda vizuri, maendeleo ya taifa hili yanaanzia kijijini hivyo ni jukumu la Mwenyekiti wa Kijiji ni kusimamima vema maendeleo ya vijiji vyao kwa maendeleo ya Taifa.

-Cheo ni dhamana, wananchi wamekuamni, una wajibu na jukumu kubwa la kuwatumikia wananchi na sio kuwa watawala, kwa mabavu na ubaguzi.

- Jiepusheni na vitendo vya rushwa, tatueni kero za wananchi, kwa kuwashirikisha katika utekelelezaji wa shughuli zote za maendeleo kijijini kwenu, simamieni Sheria, kanuni na miongozo ili muweze kutenda haki.

- Serikali inatoa fedha za miradi moja kwa moja kwenye akaunti za  vijiji, Mna jukumu kubwa la kusimamia miradi ya maendeleo na kuhakikisha fedha zote zinatumika kwa kuzingatia sheria,kanuni na taratibu na miongozo ya matumizi ya fedha za Umma.

- Ni wajibu na ni haki ya mwananchi, kufahamu shughuli za maendeleo zinazofanyika kijijini, Ni takwa la kisheria kufanya Mkutano mkuu wa Kijiji kila baada ya miezi mitatu, fanyeni mikutano hiyo na kuwasomea wananchi taarifa ya Mapato na Matumizi.

- Shirikianeni na watalamu wa ngazi ya kijiji na kata kutekeleza miradi ya maendeleo katika maeneo yenu, simamieni fedha  za serikali kwa uaminifu, hakikisheni fedha zote zinazoingia na kutoka ziko kwenye kumbukumbu na wananchi wapewe taarifa hiyo.

- Migogoro ya Ardhi ni changamoto, ni jukumu lenu kutatua changamoto hiyo, epukeni rushwa, tendeni haki, simamieni sheria ili kuhakikisha hakuna mgogoro mwingine unaoibuka katika kipindi cha uongozi wenu.

- Shirikisheni wananchi na wadau ndani ya maeneo yenu, kuibua miradi na kuchangia maendeleo yenu, badala ya kusubiri Serikali au wafadhili kutoka nje ya nchi, simamieni maendeleo yenu yaletwe na nyinyi wenyewe.

-Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa Mheshimiwa Rais John Magufuli, imewekeza nguvu kuwahudumia wananchi hasa wanyonge,ungeni mkono juhudi za Rais, wahudumieni wananchi bila kuwabagua, tatueni kero zao.















Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA August 14, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KUFUATILIA NA USAMIZI WA HAKI ZA MTOTO KATIKA JAMII NI JAMBO MUHIMU

    August 25, 2025
  • RAIS SAMIA AMUAPISHA AMOS MAKALLA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    August 26, 2025
  • DKT. JAHANNES LEMBULUNG' LUKUMAY ACHUKUWA FOMU YA UGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI

    August 25, 2025
  • KIKAO KAZI CHA WENYEVYITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA (CEOs Forum 2025)

    August 24, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.