WIZARA YA ARDHI YATUA ARUSHA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI IKIONGOZWA
NA WAZIRI NDEJEMBI
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Makonda pamoja na rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi mara baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi ya kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali za sekta ya Ardhi leo Machi 06, 2025.
Katika ziara hiyo, Mhe Ndejembi ameambatana na wataalamu kutoka wizarani.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.