• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Yaliyojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani halmashauri ya Arusha

Posted on: March 8th, 2018

# Wanawake wameonesha kuwa chachu ya uanzishwaji wa viwanda vidogo  kwa kuwa mpaka sasa asilimia 60% ya viwanda vidogo vinamilikiwa na wanawake.
 # Wanawake wametakiwa kujikita kwenye uzalishaji wa malighafi na bidhaa za viwanda, vitakavyowawezesha kujiajiri na kuajiri katika kuelekea uchumi wa kati na uchumi wa viwanda.
     # Halmashauri imejipanga kuwainua na kuwajengea uwezo wanawake wajasiriamali wanaojihusisha na usindikaji ili kuinua viwanda hivyo kuelekea viwanda vya kati hadi vikubwa.   #  Halmashauri imejipanga kukusanya mapato ya ndani kwa lengo la kupata  asilimia 4% ya kuwakopesha wanawake, na kuwataka wanawake hao kulipa kodi na ushuru wa bidhaa zao ili kuwezesha halmashauri kupata mapato.
# Halmashauri imewafikiwa jumla ya wananwake 605 kwenye vikundi 54 kwa kuwapatia mikopo yenye tahamani ya shilingi milioni 290 na kufikisha kiasi cha shinigi milioni 600 kukopeshwa kwa vikundi vya wananwake tangu halamshauri ilipoanz amwaka 2007.
    # Idara ya Maendeleo ya Jamii imetakiwa kuwanganisha Wanawake wajasiriamali ili bidhaa zao ziweze kusajiliwa na kupata vibali vya viwango vitakavyowezesha bidhaa zao kupata soko ndani na nje ya Tanzania.
         # Halmashauri  imejikita katika kutatua changamoto za wanawake ikiwemo kuboresha hali za uchumi kwa kutoa mikopo, kuboresha sekta za elimu kwa kuhakikisha watoto wa kike wanapata elimu, kuboresha miundo mbinu ya huduma za afya kwa lengo la kupunguza vifo vya mama na mtoto, kuboresha huduma za maji kwa kutekeleza miradi mingi ya maji ili kumpunguzia mama mzigo wa kuchota maji na kutekeleza kampeni ya kumtua mama ndoo.
    #  Viongozi wamekiri kupambana na mila kandaamizi dhidi ya wanawake na kuthibitisha kuwa ukeketaji wa watoto wa kike umepungua kwa kiasi kikubwa na zaidi unaelekea kwisha kabisa, viongozi wako tayari kulinda na kutetea masilahi ya wanawake ili kuwa na taifa lenye nguvu na kujiamini.
     # Dunia inatambua changamoto zinazowakabili wanawake zinazotokana na  wanaume kukwepa majukumu, lakini Mungu anasikia kilio cha wanawake na kutambua kuwa wanawake ni jeshi kubwa na lenye ushawishi, hivyo wanatakiwa kuungana na kufanya ushawishi wa maendeleo ya taifa la Tanzania.    # Wanawake wametakiwa kuwa na nidhamu ya mikopo pamoja na kujenga tabia ya kujiweke akiba benki jambo ambalo litawawezesha kupata mikopo mikubwa zaidi pindi biashara zao zitakapokuwa kubwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.