• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

YALIYOJIRI KWENYE MKTANO WA BARAZA LA MADIWANI LA KUWASILISHA TAARIFA ZA KATA ZA ROBO YA PILI 2020/2021

Posted on: January 27th, 2021

Na. Elinipa Lupembe.

# Kwa baadhi ya kata ambazo hazina shule za sekondari, halmashauri, madiwani kwa kushirikiana wananchi kutafuta maeneo ya kijenga shule, na kutokana na uhaba wa ardhi katika maeneo hayo, kutekeleza ujenzi wa majengo ya ghorofa ili kumeneji matumizi bora ya ardhi.

# Kutokana na ongezeko la wanafunzi wanaoandikishwa tangu serikali kutoa elimu bila malipo, halmashauri imejipanga kuendelea na maandalizi ya uejnzi wa vyumba vya madarasa unaoendana na maoteo sahihi yatakayotokana na sensa ya wanafunzi itakayofanyika mapema mwezi Aprili 2021.

# Viongozi wawakilishi wa wananchi wanajukumu kubwa la kuhamasisha wazazi kuchangia chakula kwa watoto wao kwa shule za msingi na shule za  kutwa za sekondari ili kuahkikiaha wanafunzi wotw wanapata chakula wawapo ahuleni.

# Uongozi wa halamshauri unaenselea kusimamaia watumishi wote kutekeleza majukumu yao kisekta, ili kuahkikisha wananchi wa halmashauri ya Aruaha wanapata huduma zote muhimu zinazotolewa na serikali yao.

# Licha ya kuwa katika kata zote kuna changamoto katika sekta ya afya, elimu, kilimo, mifugo, maji na miunsombinu ya barabara, bado serikali ya awamu ya tano inaendelea kutatua changamoto hizo kisekta kwa kuzingatia vipaumbele na mpango wa bajeti na uapatikanaji wa fedha kwa mwaka.

# Halmashauri inawataka wananchi na wadau wa maendeleo kujitokeza kwa wingi kishiriki katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo lengo likiwa ni kutatua changamoto za kijamii kwa wananchi wote waweze kupata husuma bora katika maeneo yao.

# Kuendelea kuimarisha mipango ya  kusimamia vyanzo vya mapato na ukusanyaji wa mapato, pamoja na kubuni vyanzo endelevu vya mapato vitakavyowezesha kuendesha miradi ya maendeleo ya kuwahudumia wananchi wetu, kuanzia ngazi ya kijiji mpaka ngazi ya halmashauri.

# Ofisi ya Mkurugenzi kwa kishirikiana na ofisi ya mkuu wa wilaya, inaendelea kushughulikia migogoro ya muda mrefu ya  mipaka kati ya Halmashauri ya Meru kata ya Bangata na Kata ya Olsonyowas na mgogoro kati ya Halmashauri ya Wilaya ya Longido, ili kuahakikisha wanachi wanafanya shughuli zao kwa amani na utulivu.


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Arusha, Mheshimiwa Ojung Salekwa akizungumza wakati wa Mkutano wa Baraza la Madiwani la kuwasilsiha Taarifa za Kata kwa kipindi cha robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2020/2021.


Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha, Saad Mtambule, akizungumza wakati wa Mkutano wa Baraza la Madiwani la kuwasilsiha Taarifa za Kata kwa kipindi cha robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2020/2021.

Diwani wa Kata ya Olturoto, Mheshimiwa Baraka Simon akiwasilsiha Taarifa za Kata ya Olturoto kwa kipindi cha robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani la kuwasilsiha Taarifa za Kata za robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2020/2021.


Diwani wa Kata ya Kimnyaki, Mheshimiwa Eliakimu Mervey, akiwasilsiha Taarifa za Kata ya Olturoto kwa kipindi cha robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani la kuwasilsiha Taarifa za Kata za robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2020/2021.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.