• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LA ROBO YA PILI 2019/2020

Posted on: March 5th, 2020

Na. Elinipa Lupembe.

*Idara ya Mazingira kufanya tathmini ya athari za uharibifu wa mazingira katika mlima Kivesi, zinazodaiwa kutokana na uwekaji minara ya simu katika milima huo.

**Idara ya Fedha na Biashara, ifanye tathmini na kuwabaini wafanyabiashara wote, wanaotumia Vitambulisho vya Machinga huku hawana sifa hizo, na kuvitumia kama kivuli cha kutokulipa kodi ya Serikali, watakaobainika wachukuliwe hatua za kisheria, ikiwa ni pamoja na kushtakiwa kwa kukwepa kulipa kodi na kuingizia Serikali hasara

***Wamesisitiza, Idara hiyo ya Fedha kufuata sifa za wafanyabiashara zilizoainishwa na Mhe. Rais, Dkt. John Magufuli, vitambulisho vya Machinga ni kwa ajili ya mfanyabiashara mwenye mtaji usiozidi shilingi milioni 4, na sio vinginevyo.

******Menejimenti iongeze nguvu kwenye kikosi kazi cha Ukusanyaji Mapato ya Halmashauri, kwa kuwashirikisha Maafisa Watendaji wa Kata na Vijiji ili kuongeza kasi na guvu ya ukusanyaji katika maeneo yao.

*****Idara ya Sheria kuanza mchakato wa  sheria ndogo za halmashauri, zitakazowezesha Vijiji na Halmashauri kunufaika na minara iliyopo katika maeneo yao.

******Wananchi wanatakiwa kuwasilisha changamoto zote zinazojitokeza wakati wa zoezi la Urasimishaji wa Makazi unaendelea, katika maeneo mbalimbali, kwenye Ofisi ya Ardhi, Kitengo cha Mipango Miji, halmashauri ya Arusha licha ya kuwa Kazi hizo zinafanywa na Kampuni binafsi ambazo zimepewa Kandarasi hiyo na Serikali.

*******Vikao vya Kisheria vifanyike kwa wakati, ili kupata nafasi ya tathmini  utekelezaji wa shughuli za maendeleo na kuweka mipango thabiti inayoendana na muda wa bajeti kwa kipindi husika.

********Manajimenti ifanye ufuatiliaji wa deni la fidia ya shamba la Lakilaki, ambalo halmashauri inazidai kutoka Serikali Kuu kiasi cha shilingi bilioni 1.9, ili fedha hizo ziweze kulipwa na kutekeleza miradi ya halmashauri.

********Halmashauri itoe fedha kwa ajili ya miradi mingi inayotekelezwa kwa nguvu za wananchi, ili kuwatia moyo wananchi wanaojitoa kwa hali na mali kujenga nchi yao.







Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.