• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

*YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI

Posted on: February 19th, 2019

Na. Elinipa Lupembe.

# Afisa Elimu Sekondari kuandaa majina ya wanafunzi 49 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2018 na mpaka sasa hawakuripoti shuleni, majina hayo yakiainisha kata na maeneo wanayotokea ili madiwani kushiriki kutafuta ukweli wa mahali walipo  wanafunzi hao.

# Wamejadili kuangalia namna ya kutungwa kwa sheria ndogo ya halmashauri itakayowezesha ukusanyaji wa kodi kwa wafanyabiashara wanaofanya biashara ya kupangisha nyumba, kwa kuwa nyumba zinapangishwa kwa bei kubwa na hakuna kodi wanayokatwa wafanyabiashara hao.

# Wakala wa barabara mijini na vijijini - TARURA kuandaa utaratibu wa kuweka alama kwenye hifadhi za barabara kwenye maeneo ambayo tayari wananchi wameacha kwa ajili ya hifadhi za barabara ili kusiwepo na uvamizi mwingine katika maeneo hayo.

# Zaidi TARURA kuanza utaratibu wa kuweka vibao pia, kwenye barabara ambazo bado hazijavamiwa na wananchi ili kuzuia uvamizi, kwa kuwa uvamizi huo, husababishia wananchi hasara kubwa pindi wanapobomolewa nyumba zao.

# Maafisa Watendaji wa kata na Vijiji waainishe maeneo ya hifadhi za barabara zote  katika maeneo yao kwa kuzingatia vigezo vya barabara hizo kisheria, kwa lengo la kuzuia ujenzi wa uvamizi wa barabara pamoja na ubomoaji wa nyumba zitakazoje gwa kwenye hifadhi za barabara.

# Kuainisha minara yote ya simu iliyoko ndani ya halmashauri ya Arusha ili kuona kodi za kila mnara zinalipwa wapi.

# Idara ya Maji kushughulikia miradi midogo ya maji, ikiwemo miradi Mindeu, Ilkiushini, OLOMULO ili kuondoa changamoto zinazosababisha miradi hiyo kutokutoa maji na kusababisha kero kubwa kwa wananchi.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.