• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU 2019/2020

Posted on: June 9th, 2020

Na. Elinipa Lupembe.

 YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU.

##Halmashauri iweke mikakati ya kudumu ya ukusanyaji wa mapato kwa kusimamia ukusanyaji wa mapato kwa ufanisi pamoja na kukiwezesha kitengo cha mapato na biashara, kutekeleza majukumu yake, ili kufikia malengo ya ukusanyaji mapato yaliyowekwa kwenye bajeti.


##Mawakala wa ukusanyaji mapato waliowe fedha zao kwa wakati mara tu baada ya kuziwasilisha ili kuepuka madeni na kubiresha utendajikazi.
##Halmashauri izingatie utaratibu wa kutumia asilimia 40% ya mapato ya ndani, kutekeleza miradi ya maendeleo.


##Kitengo cha TASAF kuwasilisha maoni ya wajumbe wa Baraza Serikali kuu, juu ya marekebisho ya uwajibikaji wa Kamati za Usimamizi miradi ya TASAF ngazi ya jamii- CMC ili kutoa nafasi kwa Madiwani kuzihoji kamati hizo kwa lengo la kuongeza tija na ufanisi katika utekelezaji wa miradi hiyo.


##Idara ya Mazingira irndelee kutoa elimu ya utunzaji mazingira kwa wananchi wanaoishi kuzunguka mlima Kivesi, ulioko kata ya Kiutu,pamoja na kuwachukulia hatua  za kisheria, wale ambao wanaoharibu mazingira, kutokana na wananchi hao kuvamia hifadhi ya mlima huo kwa kukata miti, kulisha mifugo jambo ambali linasababisha ukame na mmomonyoko wa udongo.


##Vikao vya Kamati za kudumu vya kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo, vifanyike kwa wakati ili kutoa fursa ya kufanya kujipima na kufanya tathmini ya utekelezaji wa maazimio kwa wakati.


## Halmashauri ienfee kuikumbusha Serikali Kuu kulipa deni la Fidia ya Shamba la Lakilaki, fedha ambazo halmashauri inadai kwa muda mrefu sasa.


##Wameishukuru serikali ya awamu ya tano,inayoongozwa na Rais wa wanyonge, Dkt.John Pombe Magufuli kwa kuwezesha halmashauri ya Arusha, kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kwenye sekta ya Elimu, Afya, Maji na miundombinu ya umeme, miradi iliyowezesha wananchi kupata huduma bora kwa kasi.


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Arusha, mhe. Baraka Simon akihitimisha maazimio ya mkutano wa Baraza la Madiwani wa kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo za halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya tatu, mwaka wa fedha 2019/2020.



Wajumbe wa Baraza la Madiwani, halmashauri ya Arusha wakifuatilia mijadala wakati wa  mkutano wa Baraza la Madiwani wa kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo za halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya tatu, mwaka wa fedha 2019/2020.


Wajumbe wa Baraza la Madiwani, halmashauri ya Arusha wakifuatilia mijadala wakati wa  mkutano wa Baraza la Madiwani wa kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo za halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya tatu, mwaka wa fedha 2019/2020.


Diwani wa Viti Maalum, Mhe. Yasimi Bachu akichangia hoja wakati wa  mkutano wa Baraza la Madiwani wa kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo za halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya tatu, mwaka wa fedha 2019/2020.


Diwani wa kata ya Ilkiding'a, Mhe. Loth Mungaya, akichangia hoja wakati wa  mkutano wa Baraza la Madiwani wa kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo za halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya tatu, mwaka wa fedha 2019/2020.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.